Swahili

ICT for Everyone

Tunakupa uwezo wa Teknohama.

Teknohama ipo katika maisha yetu ya kila siku. Kuanzia katika matumizi ya komputa,matumizi ya simu za viganjani,mtandao,IoT na mengine mengi. Matumizi ya Teknohama yanakuwa kila kukicha katika maisha yetu na mambo mengi yanafanyika kwa muda na popote.


Sisi ict4e tunatoa huduma na kuuza vifaa vya teknohama vyenye kiwango cha hali ya juu.Tunajihusisha na kutengeneza miundombinu, kuuza vifaa na kutoa huduma kwa matatizo ya makampuni pamoja na kufundisha na ushauri wa kitaalamu.

Kampuni

Kampuni yetu ni yakimataifa na inatoa huduma za kiteknohama,tunao wafanyakazi ambao wana ujuzi mkubwa na uzoefu wa hali ya juu katika fani hii kukuwezesha kuitumikia taasisis yako.

Bishara yetu kwa ujumla 

– OneUSB kwa ajili ya kuilinda na kuiweka salama computer yako
– Computer ndogo “IchigoJam” kwa kujifunzia watoto
– – “IchigoJam” Rejea(Swahili toleo)
– Elimu ya computer programming

Partners

– They have some sets of “IchigoJam” for having a programming workshop.

– They sell “IchigoJam” at the web shop.

Profaili ya Kampuni

Company nameict4e Ltd.
AddressNishikawa Bldg. 2F, 3-1010 Itagaki, Fukui-shi, Fukui, Japan
Founded inDecember 16th, 2013
Contacttoiawase_web[at]ict4e.jp
Business AreaComputer programming Education / Training

Contact

Contact us with this form. We are happy to hear your message.

  (required item has * mark)

  Company name

  Your name*

  E-mail*

  Phone

  Message*

  Don't forget to put the country code (like +81) on your Phone number, if you like to contact with WhatsApp or something else

  check this box before clicking PELEKA