Baada ya kuunda Programu ya kwanza ya Ichigojam, ni matumaini yangu kwamba sasa ivi utakuwa umeshapata mwanga.
Hatua hii ni kujaribu kuunda programu mbalimbali ambazo naimani utazifurahia.
Njia rahisi ni kuandika tu michezo mingi na kufurahia!
Pia unaweza kubadili namba ili uweze kuwa mbunifu na kuweza kutengeneza programu yako mwenyewe.
Programu mbalimbali za Ichigojam
Rafting! (Bonyeza mshale wa KULIA na KUSHOTO ili kuepuka)
10 CLS : X=16
20 LC X, 5 : ? ” 0 “
30 LC RND (32) , 23 : ? ” * “
35 WAIT 3
36 X=X-BTN (28) + BTN (29)
37 IF SCR (X, 5) END
40 GOTO 20
Jinsi ya kufunga (Bonyeza batani ya Ichigojam baada ya LED)
10 LED 0
20 WAIT RND (180) + 60
30 LED 1 : CLT
40 IF BTN () = 0 GOTO 40
50 ? TICK ()
Weka! (Andika A mpaka Z)
10 LET N, 65 : CLT
20 ? CHR $ (N);
30 IF INKEY () N GOTO 30
40 LET N, N + 1 : IF N 91 GOTO 20
50 ? : ? TICK () /60
Njia! (Tafuta jumla kwanza)
10 LET N, 0 : CLT
20 LET A, RND (10)
30 LET B, RND (10)
40 ? A ; ” + ” ; B ; ” = ” ; : INPUT C
50 IF C! = A + B ?” NG ! ” : END
60 LET N, N + 1 : IF N<10 GOTO 20
70 ? TICK () /60
Pata Programu zingine
Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu Ichigojama, unaweza kupata kitabu kutoka kwetu.
Unaweza kupata taarifa zaidi kupitia “PCN flagship AKIHABARA“.
Njoo ujiunge nasi.
– IchigoJam
– IchigoJam kwenye YouTube
– IchigoJam-FAN @ en (msaada wa kundi kwenye Facebook)
Author : Dickson Peter