Kampuni ya ICT

Blog

HATUA YA KWANZA KUUNDA PROGRAMU YA ICHIGOJAM

2017.11.9

Je! Unaweza kuiwasha LED yako katika Ichigojam yako?

Kama ujajua basi fuatilia apa atua kwa atua mpaka mwisho. Jaribu kubadili namba na kuweka namba zingine ili uone mabadiliko katika LED yako.

Ichigojam : hatua ya kwanza

Washa LED yako
1 Andika “LED1” na bonyeza INTA kuingia.
Zima LED yako
2 Andika “LED0” bonyeza INTA.
Subiri kwa mda
3
“WAIT120” inamaanisha “kusubiri kwa sekunde 2” swali, je: “WAIT60” inamaanisha usubirie kwa sekunde ngapi?
4
Washa LED kwa sekunde 1(7 kujiunga na komandi)
5
Bonyeza ufunguo wa UP mara mbili.
Bonyeza ufunguo wa KULIA mara 12.
Bonyeza kitufe cha BACKSPACE ili kufuta “6”
Weka “12”.Bonyeza INGIA kurekebisha oda yako.

6
IchigoJam hatua ya kwanza

Author : Dickson Peter