Kampuni ya ICT

Blog

KUUNDA ICHIGOJAM

2017.11.8

Kuna atua kama mbili za kufuata kuakikisha umeunda Ichigojam yako mpaka kukamilika.

Hatua ya 1. Kujenga kompyuta yako mwenyewe ya IchigoJam.
Hatua ya 2. Anza kutumia IchigoJam.

Hatua ya 1. Kujenga kompyuta yako mwenyewe ya IchigoJam.

Hii ni picha ya Ichigojam, ndio hii tutaiunda katika mtililiko huu ambao tunaufuata wa kuunda Ichigojam
99
Je! Unajua chuma cha udongo?
Ni chombo cha kuunganisha sehemu za umeme kama ukionavyo apo chini.
888

Ifuatayo ni ramani nzima inayoonesha sehemu za Ichigojam pamoja na vifaa vitakavyotumika katika kuijenga.

Capture

Tafadhali jaribu kufanya hatua kwa hatua na rhythm yako mwenyewe!
soldering

Hatua ya 2. Anza kutumia IchigoJam.

Kompyuta yako ya IchigoJam iko tayari? Kama ipo tayari hebu anza kuitumia! Tafadhali unganisha cable ya video kwenye TV, chomeka na kebo ya kibodi, na kebo ya microUSB ili uweze kupata umeme.

WhatsApp Image 2017-11-06 at 1.45.52 PM(3)

Kisha, washa IchigoJam yako kwa upande wa kushoto utaona swichi ina rangi nyeusi na kembamba. Baada ya kuiwasha Ichigojam yako utapata ujumbe wa kwanza kabisa kutoka kwenye scrini yako

IMG_0260
Hongera umefanikiwa kuunda Ichigojam yako, sasa fuata atua ya kwanza ili kutengeneza programu.

Author : Dickson Peter